BAADA ya kupangwa kisha kufutwa tena, hii ndio droo ya mwisho (ya marudio) mechi za 16 Bora Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya.
Bayern x RB Salzburg
Manchester City x Sporting
Ajax x Benfica
Lille x Chelsea
Manchester United x Atlético de Madrid
Juventus x Villarreal
Liverpool x Inter de Milão
Real Madrid x PSG.
Tags
soka