![]() |
Denis Suarez |
Arsenal wanakaribia kufunga kandarasi ya kiungo Denis Suarez . Dili hili linakusudiwa kwa la mkopo ambaouna weza kuja kubadilika na kuwa mkataba wa moja kwa moja.
Kochamkuu wa Barcelona coach Ernesto Valverde kasema Usajili bado hauja kamilika , ila ni makubaliano yaliyokubaliwa kwa pande zote mbili na wakiwa na matuamaini kila kitu kitakuwaa sawa.
vyombo vya habari vya Hispania vinasema kuwa Barcelona wataongea kandarasi ya Suarez' hadi 2021.