![]() |
Miguel Almiron akicheza MLS football akiwa na timu ya Atlanta |
Newcastle imukubali matakwa ya Atlanta United kuhusiana na hatima ya Miguel Almiron.
imeeleweka kuwa kiungo huyo wa MLS atasafiri kwenda Uingereza usiku wa jum kwa ajili ya vipima .
Ada ya uhamisho inakadiliwa kuwa (£20m) bilioni 60.5 za kitanzania, ambayo itakuwa ni rekodi ya Newcastle kutoa tangu kununuliwa kwa Michael Owen kwa £16.5m (bilion 48.4) mwaka 2005.
Atlanta walimuwekea thamani ya £30m kwenye dilisha la usajili, ila waliishusha dau hilo.