Everton kukataa kuongezwa kwa dau la Paris Saint-Germain kwa Idrissa Gueye

Idrissa Gueye
Everton  wamekataa ongezeko la £26.2m (bil. 79) kutoka kwa Paris St Germain's kwa kiungo wao wa kati Idrissa Gueye, 

PSG walikuja na dau la mwanzo la  £21.5 (bil. 65) ila Gueye kuomba kuongezwa kwa ada ya uhamisho na kufikia ada hiyo mpya iliyotangazwa  usiku wa jana alhamis , lakini bado ilikataliwa
na Everton

Mchezaji huyo kutokea timu ya Senegal hakufurahishwa  na taarifa hizo ambapo alikuwa na matumaini ya kundoka kwenye ligi hiyo (Ligue 1)

Gueye anamchango mkubwa sana kwenye klabu ya Everton kama kiungo muhimu kwa takliban miaka miwili na nusu akitoke klabu ya Aston Villa kwa ada ya  £7.6m (bil. 26)

Amecheze mechi 20 kwenye Premier Leaguemsimu huu ukijumuisha na mechi za timu ya Taifa lake Senegal majira ya joto yaliyopita
Previous Post Next Post

Translate