Chelsea kukataa mkopo wa Striker mbeligiji kwenda Tottenham
![]() |
Michy Batshuayi |
Michy Batshuayi kukwea pipa kwenda Crystal Palace akitokea Chelsea dakika za mwisho kabla ya dilisha la usajili kufungwa.
Usiku wa kuamkia leo ndipo dili hilo lilifanyika Baada ya Chelsea kuikataa ofa ya Tottenham ambapo ofa hiyo haikuwa na mashiko kama ambayo hayakuwavutia mianba hao.