Knicks Kumuuza Kristaps Porzingis kwenda DallasMavericks


Klabu ya New York Knicks imetangaza rasmi kumuuza Kristaps Porzingis kwenda  Dallas Mavericks, Timu ilitoa Taarifa hizo usiku wa Alhamis.


Dennis Smith Jr na Wesley Matthews
Klabu ya  Knicks imemchukua Dennis Smith Jr., DeAndre Jordan, Wesley Matthews  na kuchukua nafasi mbili za juu kwenye mkwapuo wa kwanza wa Draft utakao shikwa na  Mavericks .

Courtney Lee, Tim Hardaway Jr. and Trey Burke nao wameondoka kwenda  Dallas huku Knicks
wakiangazia kutngeneza usajili wa bure majira ya joto  msimu huu
Previous Post Next Post

Translate