Chelsea : mashabiki kuwaka kwa shangwe baada ya Gonzalo Higuain kufunga goli lake la kwanza

M-Argentina kuinyanyua kwa nguvu Chelsea kwa kutupia goli  1-0 dhidi ya Huddersfield kwenye uwanja wa  Stamford Bridge

 
Higuain akishangilia goli akiwa na uzi wa Chelsea
Higuain alikamilisha uhamisho wake wa mkopo na kujuinga na Chelsea hapo Januari baada ya kuuvunja mkataba wake mrefu akitokea AC- Milan.

akijiunga na bosi mpya wa Chelsea Maurizio Sarri , tangu walipokutana walipo kuwa wote Napoli kwenye msimu 2005/2006.


Tegemezi linamwanhgukia m_Taliano huyo baada ya kuonyesha uwezo wake wa kufunga magoli mda mfupi tu! baada ya kuingia uwanjani.



Previous Post Next Post

Translate