TP Mazembe kutokea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kopngo kuvunja rekodi hiyo baada ya kuichakaza klabu ya Tunisia hapo jana Jumamosi kwenye hatua za makundi.
Mabigwa hao mara 5 waliivyunja rekodi hiyo iliyowekwa na na timu kuotka Ivory Cost ASEC Mimosas baada ya kuigaragaza CR Belouzdad ya Algeria goli 7-0.