Simba kutoka Tanzania kulipa kisasi cha kipigo cha 5-0 walichokipata nyumbani kwa Misri kwa kuwapiga 1-0

Ushindi huo ulikamilishsa msimamo wa siku nne za michuano hiyo ya mabara ya klabu bingwa.
Mabingwa watetezi Esperance wanaongoza kundi baada ya kushinda mechi 2 kwenye kundi lao.Guinea Horoya na JSS kutokea Algeria na wao kujinyakulia ushindi , huku mechi nyingine tatu kuisha kwa kutoka droo ya bila kufungana