Mataifa ya Nigeria, Afrika kusini na Mali kuungana na Senegali ndani ya nusu fainali za U20 Africa Cup of Nations inayo fanyika nchini Niger , hii ikimaanisha kuwa timu zote nne zitaunga na nyingine kwenye mashindano ya Dunia yatakayofanyika Poland mweezi wa Tano
Hadji Drame aliifungia Mali dakika ya 53 na kuiweka kifua mbele kuelekea kwa mara ya Saba kwenye hatua hio katika mashindano hayo.