PSG Kuanzisha kipigo kwa Man United chini ya Solskjaer



Kocha wa Manchester United’s wa muda kuanza kibarua kwa kupoteza mchezo wake wa kwanza dhidi ya PSG kwa kichapo cha 2 – 0 miamba hao kutoka Ufaransa.


Ole Gunnar Solskjaer alichukua nafasi hiyo baada ya Mashetani hao Wekundu kumwondoa aliyekuwa kucha wao  Jose Mourinho Desemba , Miamba hao wameweka rekodi kwa kushinda michezo 10 kati 11 chini yake , huku wakifurahi ushindi mnono waliopata dhidi ya Fulham kwa kutoa kichapo cha 3-0 jumamosi iliyopita
Previous Post Next Post

Translate