RATIBA LIGI KUU BARA LEO

NOVEMBA 30 raundi ya 7 inazidi kukatika taratibu ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2021/22.

Baadhi ya mechi zimechezwa na tumeshuhudia hat trick ya kwanza ikipigwa Uwanja wa Nelson Mandela, wakati Tanzania Prisons ilipocjeza na Namungo FC.

Leo ratiba inaendelea ambapo itakuwa namna hii:-

Biashara United ya Mara dhidi ya Polisi Tanzania ni Uwanja wa Karume.

Mbeya Kwanza dhidi ya Yanga, Uwanja wa Sokoine

Azam FC dhidi ya Mtibwa Sugar itapigwa Uwanja wa Azam Complex.

Previous Post Next Post

Translate